Acts 6:3-4

3 aKwa hiyo ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, watu wenye sifa njema, waliojawa na Roho Mtakatifu na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi kazi hii, 4 bnasi tutatumia muda wetu kuomba na huduma ya neno.”

Copyright information for SwhKC